JAMANI BABA! SEHEMU YA 5 ILIPOISHIA: “Asante .” “Mwaija .” “Abee baba .” “Kaangalie kama maji yanatoka . ” “Sawa . ” Baada ya muda .. . JIACHIE MWENYEWE ... Mwaija alikwenda huku nyuma akimwacha mwanaume huyo akijishika midomo na kusema... . “Salaleee .” Mwaija alirejea akisema. .. “Maji yanatoka baba. ” “Sawa , basi ujaze mapipa ili yakija kukatika isiwe shida .” “Sawa baba .” Mwaija huku akitambua kwamba mama yake ameenda msibani aliamua kwenda kuvua nguo nzito alizovaa na kujitupia kanga kwani alijua kwenye kuchota maji lazima angelowa sana maji mwilini. Kwenye kuchota maji sasa , Masilinde alijikuta amefika huko uani.. . “Chwaaa, ” maji yaliingizwa kwenye pipa . Masilinde alisimama, akabahatika kumwona Mwaija akigeuka kuelekea bombani na kweli kanga aliyovaa ilishalowa maji maana ilikuwa ndoo ya tano sasa. .. “Weeee ,” alisema Masilinde huku akimnyooshea mkono Mwaija . Mwaija aligeuka ghafla, Masilinde akajifanya alikuwa amenyanyua mkono kwa ajili ...