Posts

Showing posts from November, 2018
Image
JAMANI BABA! SEHEMU YA 5 ILIPOISHIA: “Asante .” “Mwaija .” “Abee baba .” “Kaangalie kama maji yanatoka . ” “Sawa . ” Baada ya muda .. . JIACHIE MWENYEWE ... Mwaija alikwenda huku nyuma akimwacha mwanaume huyo akijishika midomo na kusema... . “Salaleee .” Mwaija alirejea akisema. .. “Maji yanatoka baba. ” “Sawa , basi ujaze mapipa ili yakija kukatika isiwe shida .” “Sawa baba .” Mwaija huku akitambua kwamba mama yake ameenda msibani aliamua kwenda kuvua nguo nzito alizovaa na kujitupia kanga kwani alijua kwenye kuchota maji lazima angelowa sana maji mwilini. Kwenye kuchota maji sasa , Masilinde alijikuta amefika huko uani.. . “Chwaaa, ” maji yaliingizwa kwenye pipa . Masilinde alisimama, akabahatika kumwona Mwaija akigeuka kuelekea bombani na kweli kanga aliyovaa ilishalowa maji maana ilikuwa ndoo ya tano sasa. .. “Weeee ,” alisema Masilinde huku akimnyooshea mkono Mwaija . Mwaija aligeuka ghafla, Masilinde akajifanya alikuwa amenyanyua mkono kwa ajili ...
Image
JAMANI BABA! SEHEMU YA NNE 4 ILIPOISHIA Hapo mama Mwaija alikuwa chumbani.. . “We Mwaija ,” aliita Masilinde lakini kwa sauti ambayo kama hakutaka mkewe asikie kule chumbani. “Abee baba .” JIACHIE.. . “Unaweza kuniletea maji ya kunywa?” “Sawa baba .” Mwaija alitoka kwa kasi kwenda kuchukua maji, nyuma wakati anaondoka , Masilinde alimtumbulia macho mpaka akataka kusimama kabisa.. . “Mama wee! Huyu si mtoto, ni mkubwa mwenzangu,” alisema moyoni baba huyo. “Karibu maji baba ,” Mwaija kwa heshima zote alimpa maji baba yake huyo tena akionesha ishara ya kupiga magoti. “Asante .” Wakati Mwaija anaondoka, Masilinde akaita tena... “Mwaijaaaa .” “Abee baba .” Mwaija alirudi mbiombio. .. “Abee baba .” “Hivi, naweza kupataa. ..aaa .. .kupata aaa ! Dah! Sijui kupata nini ? Naweza kupata kipande cha mkate?” “Ndiyo baba , ngoja nikaangalie kule. ” Mwaija aliondoka. Kwa jinsi alivyolitingisha safari hii, Masilinde alijikuta akisimama na kusema kwa sauti ya juu ... ...
Image
JAMANI BABA! SEHEMU YA 3 ILIPOISHIA : “We Mwaija .” “Abee .” “Wakati unamhudumia baba yako chai ulivaa hivyo?” “Ndiyo mama .” “Ha ! Ha ! Haaa! Yaani kweli unavaa hivyo mbele ya baba yako Mwaija ? Hebu jiangalie kwanza. Ona! Hii mikalio yako ulitaka aione siyo?” “Hapana mama , ila .. .” “Ila nini ? Au unataka baba yako aingiwe na ibilisi juu yako siyo ?” TAMBAA NAYO ... “Hapana mama , mimi sikujua kama kwa kuvaa hivi baba anaweza kuingiwa na ibilisi .” “We hivyo ulivyovaa unaona ni sawa siyo?” “Ulivyoniambia ndiyo nimegundua si sawa sasa .” Mama alimwangalia bintiye kwa macho makali kwa karibu dakika moja nzima huku Mwaija naye akishindwa kuondoka na kusimama palepale.. . “Nisamehe mama.” “Usirudie tena, sawa ?” “Sawa mama .” “Haya , kaendelee na kazi zako .” *** Shughuli zilikuwa haziendi sawa kwa Masilinde. Kila baada ta muda alivuta picha ya Mwaija. .. “Yule binti, daa ! Ni shida kwelikweli. Au kuishi mbali na mama ndiyo kawa vile ? Sasa ni kuvaa gani...
Image
JAMANI BABA! SEHEMU YA 2 ILIPOISHIA “Asante , shikamoo, ” alisalimia Mwaija huku akikaa kwenye kochi kwa adabu . “Marahaba, za safari?” “Nzuri .” “Karibu sana, karibu mwanangu, ” alisema Masalanda huku akimkazia macho Mwaija na kumshangaza mkewe kwani uchangamfu ulikuwa mkubwa tofauti na alivyofikiria. SASA ENDELEA ... “Asante sana . Naamini wewe ndiyo baba mdogo?” aliuliza Mwaija . “Hapana! Huyo ni baba yako , mambo ya baba mdogo yanatoka wapi saa hizi hapa ?” alikuja juu mama Mwaija . “Sawa , baba!” “Ni mimi mwanangu .” Mwaija alifurahia mapokezi hayo kiasi kwamba alijikuta akifurahi sana tofauti na alivyotaka kuamini hasa baada ya kushuka stendi Ubungo. Mwaija alioneshwa chumba chake cha kulala. Akaingiza mizigo yake ndani , akakiangalia chumba hicho kisha akakipenda sana. *** Ilikuwa usiku wa manane, Masalanda aliamka na kuanza kumuwaza Mwaija . Aliwaza tangu alipomwona jioni ile akitoka Tanga ... “Asante , shikamoo. ” “Marahaba , za safari?” “Nzuri ....
Image
JAMANI BABA! SEHEMU YA 1 “Mume wangu leo nataka kukiri jambo moja kwako, naamini litakukera sana lakini naanza kuomba radhi nikiwa chini ya miguu yako, ” alisema Zainabu akimwambia mume wake , Masalanda. .. “Ipi hiyo? Mbona unanitisha mke wangu, mwaka wa tatu sasa tangu tumeoana hujawahi kuniambia hivyo .” “Oooh ! Siku zote nilikuwa nafikiria namna ya kukwambia mume wangu .” “Sasa niambie basi .” Zainabu alianza kuporomosha machozi na kumfanya mume wake huyo kushangaa na kukifikiria zaidi hicho kitu ambacho kimemfanya mkewe aamue kukisema... “Labda ameamua kuachana na mimi sasa anashindwa kuniambia ?” aliwaza Masalanda . “Utanisamehe kweli mume wangu ?” “Nitakusamehe mke wangu, we niambie tu.” “Unajua ... unajua wakati unanioa nilipokwambia nilizaa mtoto akafa na nikawa sipati mimba nilikudanganya mume wangu ... ” “Ooo! Kumbe hukuwahi kuzaa kabisa?” “Hapana, ila... ” “Ila nini mke wangu hebu kuwa muwazi jamani!” “Nina mtoto... ” “Hee! Una nini ?” “Nina mto...